Msaada kuhusu Media Play kweny Smatphone

Msaada kuhusu Media Play kweny Smatphone

Geniustin

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2013
Posts
4,380
Reaction score
2,855
Naombeni kujuzwa,ni Media Play gani ambayo inaweza kucheza nyimbo one after another in a smarthphone....? Here i mean,Mathalani nacheza video moja,then nataka ikiisha hiyo moja ziendelee na nyingine mfululizo bila kupumzika na bila ya mimi kila mda kubonyeza "Play"
Msaada wenu wakuu........
Thanks in adavance.
 
hio inaitwa playlist kaka, karibia player yoyote inaweza just create playlist then icheze
 
hio inaitwa playlist kaka, karibia player yoyote inaweza just create playlist then icheze

Mkuu,naCreate vipi hiyo playlist??
Coz najarb bt bado cjaelewa..
The problem is nina video music kadhaa kweny hii Samsung yangu...bt sioni namna ya kuMake a list...i nid
More clarification ndugu..asante
 
Back
Top Bottom