Wadau habari!
ninaomba mnisaidie kwa yeyote aliyewahi kutumia hii app ya internet banking ya crdb inapatikana playstore. Kwangu inakataa ku log in na registration ya hii kitu nilishafanya nina...
Habari wakuu naomba kuuliza nataka kupiga chini window ya pc yangu ila sina program za kuweka baada ya kupiga chini hasa hasa free antivirus naweza zipata site ipi ili nipate set up zake...
"jinsi ya kupata na kudownload application ambazo zinalipiwa kwenye Google play bure na zenye latest version.
HATUA YA KWANZA:
-download application inaitwa APTOIDE(ni apps ya bure).. ili...
Msaada tafadhali.. Nimenunua cm sony xperia juz kat tatzo inazngua haicopy wala kupaste msgs. Je! ni settings au app gani inaweza kusolve hili tatzo?
Natanguliza shukrani.
Tunatafuta mtu mwenye skills kwa vitendo wa kufix/setup ubuntu linux 14.04 LTS servers kwa ajili ya data center . Contract ni ya week mbili.. ikiwezekana kuanzia next week.
Location ni Unguja...
Nawasalim.
Kwa wanaotumia android operating system kuna application ya jamii forum.
Kwenye google play search jamiiforums zitakuja mbili, mimi nimeinstall ya anodexter.
Very cool app.
Wataalam, nimebahatika kupata nilesat, 201, lakini nilesat tajwa hapo juu haziingii hata niki blind scan, nifanyeje, au ku yangu c nzuri? natumia offset dish ya 130cm x 120cm,ku ya ELSAT ya 0.3db...
Hello!
Najaribu kununua music system online nimecheki Ebay na Amazon but most of them haziwi shipped to DSM je kuna njia naweza fanya ziwe shipped DSM?
Msaada please.
Naomba niwarudishe nyuma kidogo.
Nokia especially Department ya mobile/smartphones imestop kutengeneza smartphones mpya. wengi tumezimiss. hizi cm zimetoka mbali sana toka enzi za n70 na n90...
Nimeona watu wengi wakilipia justseed.it,zbigz,bybtex n.k kupata premium accounts kwa ajili ya ku-seed torrent ili ziwe direct downloads.Infact bei nilizozikubali katika hao seeding providers ni...
Habari ndugu wa jukwaa hili.
Naomba msaada wa software inayoweza kufungua ms-word document iliyokuwa imefungwa kwa password lakini bahati mbaya password imesahaulika. Nimejaribu kutafuta kwenye...
Kila nikijaribu inasoma mwisho inasema hakuna software y ku-support Samsung USB Driver for windows 8
Android File Transfer for mac.
Microsoft ? Official Home Page...
Wakuu kam una networklock kweny simu yako ya samsung S series..yaani s1 mpaka s6 basi sasa unaweza toa sim lock bure ndani ya sec 30 tu.
kuna apps iko playstore inaitwa Galaxy s unlock ni ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.