Msaada nashindwa kupokea email katika yahoo

Msaada nashindwa kupokea email katika yahoo

MWIGOLA

Senior Member
Joined
Apr 21, 2012
Posts
173
Reaction score
52
Wapendwa nina shida siwezi kupokea email. Yaani mtu akinitumia email hata nikijitumia haziingii ila email naimiliki kila kitu password natuma email. Ni email ya yahoo.com nina wiki sasa haziingii. Hata email za facebook. Naomba msaada nitashukuru
 
Back
Top Bottom