MSAADA: Jinsi ya kudownload PLAY STORE katika simu yangu ya Tekno P5

bampami

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2011
Posts
5,700
Reaction score
4,126
Naomba msaada ninadownload vipi playstore katika simu yangu hii ya p5 tekno? kuna mtoto wa kaka yangu kachezea na kuipoteza sijui aliunstall??

msaada please.
 
labda ameidisable tu nenda setting halafu apps au app manager then all apps icheki kama ipo i enable.
 
Haipo mkuu nimefuata procedures zote ulizonielekeza lakini sijaiona mkuu.
 
Naomba msaada ninadownload vipi playstore katika simu yangu hii ya p5 tekno? kuna mtoto wa kaka yangu kachezea na kuipoteza sijui aliunstall??

msaada please.

Acha kusingizia watoto. Akubaliye kosa pia mwanaume......
 
Back
Top Bottom