Naomba kufahamu kuhusu aina za magari

Naomba kufahamu kuhusu aina za magari

Zwangedaba

Member
Joined
Feb 1, 2009
Posts
99
Reaction score
25
Watanzania wenzangu na watumiaji wa JF kwa ujumla nawasalimu katika jina la Amani.

Mimi ni mtanzania mwenye kipato cha kawaida (chini) sasa nimefikia uamuzi wa kununu usafiri wangu binafsi ili kuboost mobility katika shughuli zangu.

Kinachonitatiza ni brand gani ya magari (used) iko poa, preferentially napenda SUV au Station Wagon. Baada ya kupitia bei kwa delers mbalimbali nimeona katika kategory hiyo naweza Kuafford MAZDA (Tribute) na FORD (Explorer).

Tatizo langu ni ubora wa hizi brand, engine capacity hasa displacment na ukilinunua used litachukua miaka mingapi kuwa total scraper?

Ukiacha SUBARU (Forester) brand gani nyingine unaweza kuzipata kwa beiza za hizo kwani ukienda kwa Toyota HiluxSurf, Rav4 na Prado bado zina bei kubwa sana?

Msaada wenu jamani nawaombeni ila msitanie!
 
Kwa subaru kama una kisima cha mafuta chukua ila jiandae kuitumia kila mwishowamwezi ndudu.
 
we sio wa kipato cha chini kama unavyosema wa kipato cha chini tupo huku kwenye vitz passo ist starlet
 
Hahahaha! IST haina tofauti na Mazda Tribute fuatlia utagungua tu!
 
Back
Top Bottom