Tangopori
JF-Expert Member
- May 11, 2012
- 1,628
- 1,290
Wakuu naombeni msaada jinsi ya kuroot hii simu maana nimesearch topic za nyuma sijaona kuhusu kuroot s4 inayorun android 4.4.2
Sababu za kutaka kuiroot ni kwamba ina built in application nyingi sana ambazo sijawahi kuzitumia na sina mpango huo ila zinachukua space kubwa na kuifanya isiwe na speed kubwa sana, nataka kuzipiga chini hizo apps maana kwangu speed inamata sana!