Namna ya Kuweka ringtone kwenye iPhone plz

Namna ya Kuweka ringtone kwenye iPhone plz

raamar

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2014
Posts
252
Reaction score
23
Ambaye anajua plz naomba msaada 0718388638 call me au ni beep ntakupigia unielekeze
 
Subiri watumiaji wa iphone waje..
Sisi wengine ni watumiaj wa android tu.....
 
Subiri watumiaji wa iphone waje..
Sisi wengine ni watumiaj wa android tu.....

Android yeboyebo, Techno, samsung, nexus, htc, telefunken, sunlg, asus zote ni android just to mention few🙊
 
Android yeboyebo, Techno, samsung, nexus, htc, telefunken, sunlg, asus zote ni android just to mention few🙊

Vipato havifanani. Tumia kauli nzuri....hupaswi kumkwaza mtu..... Una majivuno sana kwani wewe kabila gani?
 
Mkuu nadhan mpaka u jail break. Iphone kalimit vitu vingi kwenye simu ambavyo ukitaka vifanya mpaka ujail break. Lakn hata hivyo i am happy with iphone kila kitu kinasolution mfano ukitaka download na play nyimbo kuna D/L player, ukitaka share nyimbo via whatsapp kuna izip sio lazima ujail break
 
Kuna mtu kaweka link juu hapo, ndo exactly unachotakiwa kufanya! Unaconvert wimbo kwenye itune to 'm4a' format! Afu baada ya hapo unalifungua file la huo wimbo lilipo unabadili format ya wimbo to 'm4r' kwenye extension ya jina lake afu unaurudisha kwene itune na kuuimport kwene sim! Ukifungua your iphone then utakuta umeongezeka kwene list ya zile default ringtones so unauselect
 
Back
Top Bottom