Ushauri:Nataka ku-upgrade kwenda android 5 lollipo, is it worth it?

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,379
Wakuu natumaini wote ni wazima, hapa nilipo nina mwezi tangu ninunue motorola moto g (2nd generation), simu imekuwa ikinipa notification ya kwamba ni update system yangu iwe lollipop, kwa sasa natumia kitkat 4.4 na wala hainipi shida yoyote ile, wakuu naombeni maono yenu na ushauri juu ya hili jambo, je kuna ulazima wa ku-update.
 
Hii lollipop haina option ya screen shot
 
Wakuu natumaini wote ni wazima, hapa nilipo nina mwezi tangu ninunue motorola moto g (2nd generation), simu imekuwa ikinipa notification ya kwamba ni update system yangu iwe lollipop, kwa sasa natumia kitkat 4.4 na wala hainipi shida yoyote ile, wakuu naombeni maono yenu na ushauri juu ya hili jambo, je kuna ulazima wa ku-update.
I updated tu hiyo ni vision mpya, watu tunaisubiria kwa hamu.

Nenda setting >about phone >software update, ila uwe na bundle la kutosha na net iwe stable.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom