Abdulazizmomba
Senior Member
- May 9, 2015
- 189
- 35
Je nikitumia simu yangu kusikiliza nyimbo,kuchat facebook,twitter,instagram,whatsapp,viber na social networks zingne apo ndo nimeitumia simu kwa asilimia 100?

Tukijudge kwa vitu ambavyo simu inaweza kufanya hata 10% hujafika na hakuna anaeweza fikisha hio 10% duniani unless binadamu akili zetu zisfkirie tena.
Zimeitwa smartphone sababu ni smart kila binadamu anavyofikiri na kudevelop apps basi na simu nazo zinaongezeka uwezo wa kufanya mambo mbali mbali
mh chief vp downloads? aziongez %use ya simu kwa haraka?
Dah unachanganya. Unamaanisha storage ya simu?