Simu ya mezani!

Simu ya mezani!

DOKEZO

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2014
Posts
324
Reaction score
504
Habari wanabodi! Naomba kuuliza je inawezekana Kuwa na simu ya mezani lakini yenye kutumia mtandao wa Tigo? Na kama hizo simu zipo zinapatikana wapi? Zinaweza Kuwa zinauzwa kiasi gani? Nitashukuru sana kwa majibu wakuu.
 
mkuu unataka kumchukulia wife...kweli aiss hawa wanawake wamezidi kuhangaika mitaani!
 
Habari wanabodi! Naomba kuuliza je inawezekana Kuwa na simu ya mezani lakini yenye kutumia mtandao wa Tigo? Na kama hizo simu zipo zinapatikana wapi? Zinaweza Kuwa zinauzwa kiasi gani? Nitashukuru sana kwa majibu wakuu.


Yes zipo za mitandao tofauti, zantel wanayo, voda wanayo, ttcl wanayo, bol wanayo. Sijui kuhusu tigo ila cha muhimu fika ofisini kwao.

Kingine, huwa kuna kifaa kinafungwa kwenye PABX, na kinawezesha kuunganisha simu za mezani za extension zifanye kazi na line ya simu.
 
Nilinunua enzi ya Sasatel sina hakika kama hii kampuni bado ipo, kama ipo nitakupa tu mkuu bila pesa.


Duh,, sasatel wakufa kitambo. Ila sikumbuki kama walikuwa wanatumia CDMA au GSM
 
Thanks mkuu Ymollel kwa taarifa.
 
Renegade less kiasi gain? Aina IPI unauza? Nitakupataje mile contact zako.
 
Nilinunua enzi ya Sasatel sina hakika kama hii kampuni bado ipo, kama ipo nitakupa tu mkuu bila pesa.
Hivi huu mtandao ulikuwa unamilikiwa na nani?
Na imekuaje umetoweka ghafla?
 
Renegade less kiasi gain? Aina IPI unauza? Nitakupataje mile contact zako.
HUwezi kushindwa kunipata, wewe fanya utafiti kama huu mtandao upo, la kama haupo uliza kama hii simu inaweza kutumika kwenye mtandao mwingine, kama inawezekana nitakuelekeza kazini kwangu utakuja kuichukua. Bado mpya tu, inaweza kukufaa.
 
Hivi huu mtandao ulikuwa unamilikiwa na nani?
Na imekuaje umetoweka ghafla?
Huu mtandao kama ulikuwa na wachina au WaIndonisea vile!!! Nakumbuka kuna dogo wangu mmoja alilamba Turufu pale.
 
Back
Top Bottom