Ushirombo JF-Expert Member Joined Jan 22, 2013 Posts 3,558 Reaction score 2,714 May 17, 2015 #1 wadau kwa mwenye link ambayo naweza kudownload bongo audio gospel na music ya kawaida,plz nisaidie,niko bush nataka lau niburudike
wadau kwa mwenye link ambayo naweza kudownload bongo audio gospel na music ya kawaida,plz nisaidie,niko bush nataka lau niburudike
riziwan jumanne Member Joined May 11, 2015 Posts 20 Reaction score 5 May 17, 2015 #3 Danload program inayoitwa vdeorder ina kla ki2 unachokitaka
Makylina Senior Member Joined Dec 15, 2014 Posts 145 Reaction score 59 May 17, 2015 #4 riziwan jumanne said: Danload program inayoitwa vdeorder ina kla ki2 unachokitaka Click to expand... Mkuu audio zinapatikana kwny hyo program?, jina tu linaonyesha ni video
riziwan jumanne said: Danload program inayoitwa vdeorder ina kla ki2 unachokitaka Click to expand... Mkuu audio zinapatikana kwny hyo program?, jina tu linaonyesha ni video
M magamlay Member Joined Sep 19, 2014 Posts 88 Reaction score 38 May 17, 2015 #5 Nimeidanload, hiyo videorder, ila ila ninapojaribu kudanlord wimbo, inagoma kabisa
riziwan jumanne Member Joined May 11, 2015 Posts 20 Reaction score 5 May 17, 2015 #6 Audio zpo pia mkuu endelea nayo ndo uwa nai2mia mm
mzaramo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2006 Posts 6,371 Reaction score 5,194 May 17, 2015 #7 ingia waptrick au zamob upate utamu utamu
J Jonathan Kiula JF-Expert Member Joined Apr 3, 2011 Posts 314 Reaction score 100 May 17, 2015 #8 Ingia Tubidy Mobile Video Search Engine utapata audios kwa mp3, mp4, videos za gospel, reggae nk
Mars Rover JF-Expert Member Joined Apr 27, 2012 Posts 338 Reaction score 140 May 17, 2015 #9 www.songily.com
N Nando JF-Expert Member Joined Oct 5, 2014 Posts 4,848 Reaction score 2,061 May 18, 2015 #10 Jonathan Kiula said: Ingia Tubidy Mobile Video Search Engine utapata audios kwa mp3, mp4, videos za gospel, reggae nk Click to expand... Hii ni ya ukweli nshaitumia sana.
Jonathan Kiula said: Ingia Tubidy Mobile Video Search Engine utapata audios kwa mp3, mp4, videos za gospel, reggae nk Click to expand... Hii ni ya ukweli nshaitumia sana.