Du mkuu! hakuna kabisa njia nyingine haya majanga.
Je charger unayotumia ni ya LG, ulishawahi kuchanganya charger? Mara kadhaa tatizo hutokea baada ya kutumia charger isiyo yake. Please note: Ni hatari kwa uhai wa simu yako utumiapo charger isiyo yake, kwakuwa kuna utofauti wa vitu vingi zaidi ya current, voltage na ampere.
Pia kama ulivyoshauriwa hapo awali yaweza kuwa hardware driver(software) au memory, wakati mwingine ukii-resett inarudi sawa.