Fundi wa laptop

Fundi wa laptop

Hornet

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2013
Posts
26,892
Reaction score
52,491
Habari zenu?
Nahitaji fundi wa laptop wa uhakika anisaidie kumalizia kuweka windows.
Manake nimekwama naona inaniletea maelekezo nisiyoyaelewa.
Kwa anayeweza kunisaidia aniPm mie nipo Dar.
 
Nicheki mi nipo dar ubungo na ni fundi kompyuta mzoefu- 0686591570
 
Back
Top Bottom