Tatizo la Network kwenye HTC one m7 Last resort, naomba msaada

Tatizo la Network kwenye HTC one m7 Last resort, naomba msaada

Kisiwa

Senior Member
Joined
Oct 18, 2010
Posts
127
Reaction score
20
Habari ndugu zangu. Hii Simu nililetewa kutoka marekani. Huko ilikuwa inatumia mtandao wa tmobile. Ilipoletwa huku haikamati network.

Nimekaa nayo mwaka sasa Mafundi wengi wamejaribu wakashindwa.Simu inaonekana ni unlocked na kila kitu kilo fine isipokuwa network tu Hebu nipe fundi Wako ambaye unamwamini, kama hatua ya mwisho kabla sijaitupa.

Pia wapi naweza kupata Lcd display ya Acer aspire v5 inch 10?

Nipo Dar kwa sasa.

Update
Problem solved. Many thanks to f.lee
 
Last edited by a moderator:
mkuu ukiweka line inaonesha no sim au no network?
 
Hushaangalia network band zake km zinakubali hapa nchini
 
Niuzie hiyo simu naenda marekani next week so nitaitumia nikiwa huko
 
Niuzie hiyo simu naenda marekani next week so nitaitumia nikiwa huko

Eti eeeh. Nipe tu hela mkuu, jihukumu maana mimi idea ya kuuza haikuwepo. Best option tunaweza ku trade off kwa new clone
 
Mkuu Kisiwa, inawezekana simu yako inatumia CDMA baadala ya GSM. hebu fika pale Zantel au TTCL waambie una simu ya CDMA wakupe line unataka kununua. ukitest na ikisema bado no network, then itakuwa ni baseband na modem.

Tatizo la software hilo.

so.. kama haitasoma line ya CDMA, unanicheki naangalia kama naweza kukusaidia. kishkaji tu, sitakulipisha chochote.. hata Invisible will vouch for me :hail:
 
mkuu Kisiwa, inawezekana simu yako inatumia CDMA baadala ya GSM. hebu fika pale Zantel au TTCL waambie una simu ya CDMA wakupe line unataka kununua. ukitest na ikisema bado no network, then itakuwa ni baseband na modem. tatizo la software hilo.

so.. kama haitasoma line ya CDMA, unanicheki naangalia kama naweza kukusaidia. kishkaji tu, sitakulipisha chochote.. hata Invisible will vouch for me :hail:

Nilishatest line ya zantel ikagoma. Nikuone wapi
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Kisiwa, inawezekana simu yako inatumia CDMA baadala ya GSM. hebu fika pale Zantel au TTCL waambie una simu ya CDMA wakupe line unataka kununua. ukitest na ikisema bado no network, then itakuwa ni baseband na modem.

Tatizo la software hilo.

so.. kama haitasoma line ya CDMA, unanicheki naangalia kama naweza kukusaidia. kishkaji tu, sitakulipisha chochote.. hata Invisible will vouch for me :hail:

Nimejaribu kuweka line ya cdma ya TTCL nayo imegoma. Another alternative?
 
Nimejaribu kuweka line ya cdma ya TTCL nayo imegoma. Another alternative?

kaka hii ndio theory yangu

t-mobile wao wanatumia frequency 1700mhz wakati tanzania sana tunatumia 2100mhz, hivyo simu yako sio issue ya ku unlock tu bali hata kupata driver/firmware ambayo itakayowezesha kufanya kazi kwenye 2100mhz. ndio maana hata network inakuwa haipandishi, itabidi upate fundi mjuzi sana au kama una ndugu mrudishie aipeleke t-mobile wai unlock wenyewe then yeye alipe
 
kaka hii ndio theory yangu

t-mobile wao wanatumia frequency 1700mhz wakati tanzania sana tunatumia 2100mhz, hivyo simu yako sio issue ya ku unlock tu bali hata kupata driver/firmware ambayo itakayowezesha kufanya kazi kwenye 2100mhz. ndio maana hata network inakuwa haipandishi, itabidi upate fundi mjuzi sana au kama una ndugu mrudishie aipeleke t-mobile wai
unlock wenyewe then yeye alipe

Ni kweli Chief. Nimecheck nimeona hivi
CPU type. snapdragon 600
CPU freg. 1700.0MHz (4-core)
GSM. 850 900 1800 1900
Kwa hiyo chief unaweza kuniambia fundi mzuri hapo Dar. Mi nipo Geita, Jumatatu ndo nategemea kuja. Nisaidie tafadhali
 
Mimi ni mtumia mzuri na wa Muda mrefu wa HTC One M7,
Tatizo la network linatokea pindi settings zako network ukiwa umeweka 3G only, but Ukiweka 2G/3G auto, haisumbui network
 
Network mode
 
Attachments

  • 1426740935611.jpg
    1426740935611.jpg
    25.1 KB · Views: 110
Mimi ni mtumia mzuri na wa Muda mrefu wa HTC One M7,
Tatizo la network linatokea pindi settings zako network ukiwa umeweka 3G only, but Ukiweka 2G/3G auto, haisumbui network
Bravooooooo. It works
 
Back
Top Bottom