G.T.L
JF-Expert Member
- Jul 15, 2012
- 1,789
- 4,181
Wakuu naomba msaada kabla sijaamua kununua modem ya TTCL nimekua nikiskia kwamba modem ya TTCL inaSpeed kubwa uwapo sehemu yoyote ile tanzania hii hata maeneo yale ya kijijini ambapo hakuna 3G. Naomba kupata ukweli wa hili kwamaana sasa nipo maeneo ya pembezoni ambapo Voda, airtel na tiGO zote ni EDGE full time. So, Kabla sijanunua hii TTCL naomba msaada wako wewe mwenye ujuzi.​