Naipuli
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 266
- 110
Habari waungwana!
Kwa wale wajuzi wa settings za computer/mipakato naomba mnijuze ktk hili.
Natumia laptop HP620, W7 ultimate. Lakini issue iko pale ninapofanya typing, ninapobonyeza SHIFT then herufi kwa lengo la kutafuta capital letter inaniletea vitu vya ajabu.
Mfano: Shift = SXHIFVT, ? = :?, M = JM, S = SX etc.
Nifanye nini ili kuondoa utata huo:? JMsaada wenu tafadhari