Laptop yangu haionyeshi screen

Laptop yangu haionyeshi screen

umurumaithaa

Member
Joined
May 9, 2015
Posts
70
Reaction score
8
Habari wana jf ,nnalaptop yng ya lenovo ,mara nyingi napendelea kuilaza kwenye chaji ,toka juzi ukiiwasha inawaka ila screen haiwaki ,je inawweza kua imeungua kioo au msaada please
 
Ase mr ata mimi nina lenovo ila tatizo ni hlo hilo ila nkipitia shortcut kuingia "my computer" huwa naweza ata kuplay cd na kuskiliza ila screen ndo gza
 
Jaribu kutumia kwa monitor au TV via VGA au HDMI.. kama itaonyesha kwa TV au monitor basi ujue display kwaheri.. Baada ya kuiwasha na connect HDMI au VGA tumia shortcut ya Windows+P mara mbili kufanya duplicate ya display yako..
 
Asante bro ntajaribu ,ubarikiwe
 
Aisee,nilidhani Niko peke yangu,ila yangu Ina waka vizuri tatizo haileti ma folder kwenye desktop, msaada tafadhari wakuu
 
kwa anaehitaji screen pamoja na kuifunga kabisa anicheki whatsapp 0715426668
 
Aisee,nilidhani Niko peke yangu,ila yangu Ina waka vizuri tatizo haileti ma folder kwenye desktop, msaada tafadhari wakuu

Hiyo yako haina tatizo la hardware, bali ina tatizo la software, unatumia wimdows gani? Fanya system restore
 
Ase mr ata mimi nina lenovo ila tatizo ni hlo hilo ila nkipitia shortcut kuingia "my computer" huwa naweza ata kuplay cd na kuskiliza ila screen ndo gza

Jaribu monitor ya nje. Hiyo yako itakuwa inawaka ila imekufa illuminator (tubes), ambazo ndio zinaleta mwanga kwa nyuma ya screen ili uweze kuona, ukiwasha weka kwenye mwanga au tumia tochi kwa makini saaana angalia utaona icons kwa mbali wakati laptop imewaka
 
Hiyo yako haina tatizo la hardware, bali ina tatizo la software, unatumia wimdows gani? Fanya system restore

Mkuu,ni window 8 ambayo ni toka kiwanda,kuna kipindi ilinifayia huo mzezo ,nikazirudisha kwa sasa haikubari,ila inawaka na nikitaka kuifanyia Kazi lazima nipitie my document mkuu,asante kwa ushauri,nitajaribu
 
Jaribu monitor ya nje. Hiyo yako itakuwa inawaka ila imekufa illuminator (tubes), ambazo ndio zinaleta mwanga kwa nyuma ya screen ili uweze kuona, ukiwasha weka kwenye mwanga au tumia tochi kwa makini saaana angalia utaona icons kwa mbali wakati laptop imewaka

nimeunganisha Kwenye desktop imekubali mr. sasa apa unanishaur nini nifanye mr
 
Aisee,nilidhani Niko peke yangu,ila yangu Ina waka vizuri tatizo haileti ma folder kwenye desktop, msaada tafadhari wakuu

Kabla hujaenda mbali umeshajaribu kuright click then view then show desktop icon?

hidewin7.png
 
Mkuu,Mkwawa Mara ya kwanza iliponizingua ,nilifanya kama unavyoonielekaza icon zote zikarudi ,nimejaribu tena hivyo zaidi ya Mara tatu ,haikubali zaidi ya desktop picture tu inayoonekana mkuu
 
fundi mzuri na spea mpya za dukani zinapatikana nicheki whatsapp 0715426668
 
Mkuu,Mkwawa Mara ya kwanza iliponizingua ,nilifanya kama unavyoonielekaza icon zote zikarudi ,nimejaribu tena hivyo zaidi ya Mara tatu ,haikubali zaidi ya desktop picture tu inayoonekana mkuu

Maybe file explorer umelifuta. Alternatve hapo ni kutumia task manager

Bonyeza ctrl alt na delete kwa pamoja then chagua task manager

Ikifunguka task manager click file halafu new task then andika neno explorer then utaona kila kitu kitarudi.

Kama havirudi alternative hapo hapo kwenye task manager ukiclick file then new task click browse tafuta desktop utapata vitu vyako.

Hujawahi kueka live walpaper??
 
Mkuu,sijawahi weka live wall paper,asante kwa ushauri bro ,keep it up .
 
Maybe file explorer umelifuta. Alternatve hapo ni kutumia task manager

Bonyeza ctrl alt na delete kwa pamoja then chagua task manager

Ikifunguka task manager click file halafu new task then andika neno explorer then utaona kila kitu kitarudi.

Kama havirudi alternative hapo hapo kwenye task manager ukiclick file then new task click browse tafuta desktop utapata vitu vyako.

Hujawahi kueka live walpaper??

Bro Mkwawa nakushukuru ,icon zimerudi zote ,big up sana
 
Back
Top Bottom