Kickass torrent imehamia Costa Rica

Kickass torrent imehamia Costa Rica

Mars Rover

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2012
Posts
338
Reaction score
140
www.kat.cr ndo domain mpya ya Kickass hivyo kwa wale mliokua mnatumia kickass.to mtakuwa redirected kwenye domain name hiyo mpya kwa muda..
 
Itakuwa seized muda sio mrefu.
TPH walihangaika sana wakapotea.
 
Daaah kweli Sema majamaa wapo vizur ila watakamatwa cku 1 ila nawapa pongez coz nakula vya Bure kila siku daah
 
Back
Top Bottom