Bitabo
JF-Expert Member
- Sep 27, 2011
- 1,900
- 690
wanajamvi mimi ni mkazi wa Kigamboni DSM. nimejaribu kutumia modem za airtel, tigo na voda kwa nyakati tofauti ila internet naipata kwa tabu sana na inakuwa too slow na nashindwa kutimiza majukum yangu mtandaoni.
naomba kujuzwa kama kuna kampuni inayotoa huduma ya internet kwa matumizi ya nyumbani. nina laptop moja tu ila nahitaji wireless internet ili na wanafamilia wangu waweze kuitumia kwenye simu zao (smart phones).
thx in advance kwenu wana JF