Tatizo la kisoftware kwenye laptop. Application ambayo sikuidownload.

Tatizo la kisoftware kwenye laptop. Application ambayo sikuidownload.

bestest

Member
Joined
Mar 8, 2013
Posts
67
Reaction score
9
Habari zenu! Laptop yangu ina tatizo lilikuja siku ambayo nilikua nina surf kwa kutumia chrome huku nikidownload moviea kwakutumia bittorrent ghafla nikanotice application mpya ambayo imeshajiinstall baada yakiona icon yake kwenye desktop, application hiyo inamaandishi ya kichina hivyo nimeahindwa kujua sehemu ya kuweza kuiunistall, icon yake inaonyesha rocket na sometimes inaonyesha memory. Nimejaribu kudelete extensions kwenye chrome bado ipo, naomba msaa niifanyeje kwani toka siku hiyo modem haikubali kuconect na siwezi tumia kitu chochote chenye internet
 
Back
Top Bottom