Kwa wapenzi wa online tv kupitia android devices.

Kwa wapenzi wa online tv kupitia android devices.

Likwanda

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2011
Posts
3,932
Reaction score
1,164
Wakuu, kuna application moja inaitwa PlayTV hii inakupatia channel nyingi sana za tv ambazo zinapatikana online live kabisa. Inachotakiwa ni kudownload Playtv application katika playstore ukishamaliza ifungue itakukupeleka katika link itayokutaka udownload player inayoitwa XMTV Player, ukimaliza kudownload XMTV Player ifungue kisha ktk sehemu ya juu kuna option nying kama fovorites, files, Plugins, settings na About.

Chagua plugins kisha bonyeza playTV utapata mafungu mbalimbali ya tvs ambazo utapendelea kuangalia, hapo utachagua mwenyewe na kila wakati utakapo taka kuona hizo channels itakubidi ufungue XMTV Player na kuenda ktk plugins kuipata hizo channels za playtv.

Kama ipo Application nyingine ambayo ni bora zaidi, wadau tujuzane maana hizi online channels huwa zina save
wakati tunapokua mbali na tv.:msela:
 
Haaaa kwa wadau wa mechi za Ulaya ustream ipo poapoa sana kucheki game.. Ukisha I downloade registered av nenda option ya sports ka cku hyo Kuna game kali utaikuta hpo channel moja wapo inaonyesha hyo gme
 
Asante, Kwa Madini Mapya
 
mambo yako 2G LIVE TV kutana na ketigori kibao kama sports, news, fashion & music ila kusema ukweli internet tv kibongobongo ni shida hata ukiipata in other way still not clear.
 
Back
Top Bottom