Mapengo 17
R I P
- Mar 28, 2014
- 1,228
- 618
Halmashauri ya Jiji la Arusha kwa kushirikiana na Tume ya Uchaguzi inatangaza nafasi sita (6) za Maafisa TEHAMA (IT) watakaofanya kazi katika zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga kura kwa kutumia Teknolojia ya 'Biometric Voters Registration' - BVR.
Muda wa Mkataba wa kazi utakuwa kipindi ambacho Halmashauri ya Jiji la Arusha itakuwa katika zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kama itakavyofafanuliwa kwenye Mkataba wa Kazi hiyo.
Sifa za Mwombaji
1. Awe ni Mtanzania mwenye umri usiozidi miaka 45 mwenye elimu ya Astashahada, Stashahada na/au Shahada katika fani ya Sayansi ya Kompyuta au fani inayofanana na hiyo.
2. Mwombaji aambatanishe CV na nakala ya Vyeti vya elimu na taaluma na picha mbili (Passport size)
3. Waombaji ambao ni watumishi watapewa kipaumbele.
Mwisho wa kupokea Maombi ni tarehe 22/05/2015 saa TISA na NUSU Alasiri. Maombi yatumwe au kuletwa kwa:-
MKURUGENZI WA JIJI,
HALMASHAURI YA JIJI LA ARUSHA,
S. L. P 3013,
ARUSHA.