Msaada tutani: Kuifanya CD ya window iwe bootable baada ya kudownload

Msaada tutani: Kuifanya CD ya window iwe bootable baada ya kudownload

karanga mbichi

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2014
Posts
269
Reaction score
223
Wakuu nimekuwa nadowload windows mara kadhaa na kuzitumia zikiwa kama image tayari. Lakini hii imekuja CD. Sasa nahitaji kuifanya kuwa image ili iwe bootable. Je nitumie prog gani??
 
wakuu nimekuwa nadowload windows mara kadhaa na kuzitumia zikiwa kama image tayari.
lkn hii imekuja cd.sasa nahitaji kuifanya kuwa image ili iwe bootable.je nitumie prog gani??

jaribu kuiburn kwa powerISO mkuu
 
Ashampoo burning studio ama ImgBurn ni nzuri na nyepesi sana kutumia Mkuu, jaribu mojawapo
 
sio lazima iwe bootable, cha kufanya set boot order, option ya kwanza iwe cd/dvd drive. chomeka cd zima pc ukiwasha pc itadetect yenyewe na kuanza, option zingine ni kuifanya kama wadau walivosema hapo juu, pia unaweza iweka kwenye flash disk na hadithi ikaishia hapo
 
Tafuta program inaitwa Power ISO uidownload ntakupa key zake itakusaidia kutengeneza files to image alafu unaweza kuiburn kwa program inaitwa ISO BURNNER Hapo utakuwa umetatua tatzo.
 
Back
Top Bottom