Wakuu kwa mwenye uelewa wa masuala ya umeme, naomba kujuzwa kwa namna gani ninaweza kuzalisha umeme kwa matumizi ya kuwasha walau televisheni ya inchi 14 na taa kama kumi hivi. Angalizo umeme huu utokane na aidha nishati ya jua au betrii.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.