Masangutu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 814
- 653
Habari Wadau,nimeona Nije Kwenye Jukwaa Hili Inaweza Kuwa Rahisi Kujibiwa Kulingana Na Nature Ya Wanaotembelea Sana Hapa.Mimi Naomba Kujua Malipo Ya Mafundi Wa Minara Na Wasaidizi Wao Ni Sh.Ngapi Kwa Cku? Nazungumzia Usimikaji Na Ufungaji Wa Minara Ya Simu Mipya.Karibuni