Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

adapter hp 650 shilingi ngap?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
guys naomba mnisaidie jinsi ya kuroot simu ya solar 5, startime
0 Reactions
3 Replies
1K Views
msaada jamani kati ya simu hizo mbili ipi nichukue? niko njia panda nachek specs zao sielewi vzuri
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wanajamvi, Nina simu yangu ya Huawei G510, inaniletea meseji inayosomeka hivi, "Unfortunately, Google play services has stopped." Ni meseji inayokuja kila baada ya sekunde chache, mpaka...
0 Reactions
6 Replies
950 Views
Ninaomba msaada wa link inayoweza kunipeleka ku-download drivers zinazoweza kufanya kazi kwenye printer yoyote. Iwe ni ndogo tu (light weight). Nimepekua sana nimeshindwa kupata.Ninatumia windows...
0 Reactions
1 Replies
880 Views
Kwa yeyote anayefahamu muuzaji wa sensors za infrared au wengine wanaziita movement sensors, naomba anijulishe pamoja na bei yake. Tafdhari!
0 Reactions
2 Replies
895 Views
je kwa wale wataaalamu wa maswala ya simu , je sim card yenye uwezo wa 4 g lite ina uwezo wa kufunction ktk simu yenye uwezo wa 3g?
0 Reactions
0 Replies
711 Views
Nilisikia kwamba kuna huduma mspy imezinduliwa Tanzania kwa license ya 230,000.00. Je! Kuna ukweli wowote wadau?
0 Reactions
15 Replies
4K Views
habari za asubuh...wakuu ninatumia tecno m3 lkn ina shida moja nikitaka kuupdate app nilizonazo au kudownload nyingine inaniambia hivi..'error download' niliambiwa nifute app ambazo sizitumii...
0 Reactions
2 Replies
856 Views
Kabla hujaniquote vibaya, hapa nazungumzia Tecno kampuni sio simu za Tecno. 1:- Brand names copycat Kwa kampuni ambayo inajielewa, brand name huwa kitu cha msingi sana mana inapotokea umeiga name...
1 Reactions
47 Replies
8K Views
Kwa wale watumiaji wa airtel, pata kifurushi cha bei nafuu kukidhi mahitaji yako ya internet. Kwa tsh 1000 tu, utapata dk 60 za kupiga airtel kwenda airtel, sms bila kikomo, pamoja na internet...
0 Reactions
17 Replies
7K Views
1. Ukiangalia kwenye masinki ya toilet haya ya kwenye choo cha kisasa utaona kuna maji ndani hata ukiflash bado utaona maji hata swali hayo maji mle kwenye lile shimo yanatoka wapi? 2...
1 Reactions
7 Replies
14K Views
Hi,salam Zenu wanajamvi . Ningependwa kujuzwa swala hili ,kwa kuwa simu zinaundwa kwa material yanayozidiana kiuimara na ubora je ni material yapi ambayo ni ya juu zaidi kiubora na ambayo ni...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wapendwa wana JF naomba msaada kwa yeyote mwenye Manual Book ya remote RC Univers 22. Nina kisimbusi kimekufa remote yake. Kuna mpwa wangu aliniletea remote hii bila mannual book yake amboyo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wataalamu ninaomba kufahamu browser ambayo no. nzuri Kwa kuweka link za kuangalia mfano channels za habari,mpira online ktk simu(android)
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Je kuna Scanning app inayoweza Fanya scanning mfano cheti hv
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hello Nimerudishiwa chenji na amazon kupitia MasterCard credit card yangu. Je zitaingia kwenye account yangu? Au niwape account # yangu?
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari wakuu Naomba msaada wenu namna ya ku upgrade au ku update simu ya HTC Desire A8181 Natanguliza shukrani.
0 Reactions
1 Replies
883 Views
Jaman mwenye uwezo wa kujua wapi nitapata kioo cha Samsung galaxy s3 original na bei yake anisaidie
0 Reactions
16 Replies
7K Views
Nahisi kuna issue kuhusiana na hii app kwenye android as since juzi I can't view any topics that I participated or create whenever I go there I get nothing. Kama hapa kwenye hii pic
0 Reactions
6 Replies
956 Views
Back
Top Bottom