MUONEKANO VENUS na JUPITER bila kutumia Telescope

ymollel

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
3,095
Reaction score
2,294
Kwa wale wasofahamu, huu mwezi wa sita unaweza kuona sayari hizi mbili Venus na jupiter kwa macho pekee,

Ukiangalia kwenye ile njia mwezi unapopita utaona vitu vitatu vinavyowaka, viwili kati yao ni sayari ( venus na jupiter) na kimoja ni nyota.

VENUS
Ndio hiyo ya kwanza inayowaka sana, hii ni sayari ya pili katika solar system, na ndio body pekee inayowaka sana baada ya jua na mwezi.

JUPITER,
ndio hiyo iliyo kstikati ya hizo tatu, jupiter ni sayari ya tano katika solar system, na ndio sayari inayozungukwa na miezi kama mitatu hivi.

Wataalamu wanasema kwa sasa SAYARI YA MARS haiwezi kuonekana kwa macho, kwani ipo mbali sana .

Sina camera nzuri , ningewawekea picha hapa.

ENJOY GOD'S MIRACLES TONIGHT
 
Thanks kwa taarifa maana hizo nyota zinazong'aa sana nimekuwa nikiziona tangia mdogo.
Niliwahi kumuuliza marehemu babu yangu miaka ile ya TANU akaniambia kuwa ile kubwa inayong'aa sana ni mke mkubwa na nyingine ni mke mdogo na mwezi ndiyo mume dah....!
 
Kwa wale wasofahamu, huu mwezi wa sita unaweza kuona sayari hizi mbili Venus na jupiter kwa macho pekee,

Ukiangalia kwenye ile njia mwezi unapopita utaona vitu vitatu vinavyowaka, viwili kati yao ni sayari ( venus na jupiter) na kimoja ni nyota.

VENUS
Ndio hiyo ya kwanza inayowaka sana, hii ni sayari ya pili katika solar system, na ndio body pekee inayowaka sana baada ya jua na mwezi.

JUPITER,
ndio hiyo iliyo kstikati ya hizo tatu, jupiter ni sayari ya tano katika solar system, na ndio sayari inayozungukwa na miezi kama mitatu hivi.

Wataalamu wanasema kwa sasa SAYARI YA MARS haiwezi kuonekana kwa macho, kwani ipo mbali sana .

Sina camera nzuri , ningewawekea picha hapa.

ENJOY GOD'S MIRACLES TONIGHT

Unaposema Sayari ya Mars haionekani kwa sababu iko mbali, unamaanisha ni mbali kutokea wapi?, duniani? Kama jibu ni ndio kwa nini Jupiter, iliyombali zaidi ya Mars inaonekana kwa mujibu wa maelezo yako?
 
Sayari zote zinazunguka jua, na zina orbit zenye urefu tofauti, hivyo Mars huonekana inapokuwa inapishana na dunia, (zinakuwa karibu umbali wa 55,000,000KM) lakini inapokwenda upande wa pili wa jua inakuwa mbali sana (400,000,000KM) hata safari za kutuma chombo kwenda kwenye Mars, huwa zinafanywa pale Mars inapokuwa karibu na dunia(pale zinapopishana na dunia).

Hata jupiter kuna wakati inakuwa mbali sana na dunia hivyo haiwezi kuonekana kwa macho.

ANGALI MICHORO HII,

Hapa ni pale ambapo Mars ipo mbali zaidi na dunia, (hatuwezi kuiona kwa macho, wala hakuna chombo kinachoweza kwenda Mars)
a80f70ba39bb7cdce803ae90266d421d.jpg

ANGALIA MCHORO WA PILI,
hapa Mars ipo karibu sana na dunia, hapa tunaweza kuiona kwa macho, pia safari zingeweza kufanyika miezi michache kabla ya kufika hapo

5be1846220521e031b0ac826e3a2c7b0.jpg
 
Hayo unayoyasema ni kweli kabisa na mimi pia uelewa wangu uko hivyo, ila sikukubaliana na mtoa mada kwa maelezo yake aliyayatoa
 
Sayari zote zinazunguka jua, na zina orbit zenye urefu tofauti, hivyo Mars huonekana inapokuwa inapishana na dunia, (zinakuwa karibu umbali wa 55,000,000KM) lakini inapokwenda upande wa pili wa jua inakuwa mbali sana (400,000,000KM) hata safari za kutuma chombo kwenda kwenye Mars, huwa zinafanywa pale Mars inapokuwa karibu na dunia(pale zinapopishana na dunia).

Hata jupiter kuna wakati inakuwa mbali sana na dunia hivyo haiwezi kuonekana kwa macho.

ANGALI MICHORO HII,

Hapa ni pale ambapo Mars ipo mbali zaidi na dunia, (hatuwezi kuiona kwa macho, wala hakuna chombo kinachoweza kwenda Mars)
a80f70ba39bb7cdce803ae90266d421d.jpg

ANGALIA MCHORO WA PILI,
hapa Mars ipo karibu sana na dunia, hapa tunaweza kuiona kwa macho, pia safari zingeweza kufanyika miezi michache kabla ya kufika hapo

5be1846220521e031b0ac826e3a2c7b0.jpg

Good explanation ,thank you
 
Back
Top Bottom