snipa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 4,523
- 2,165
Nimejaribu kucheza na different players on ma unrooted android kwakutumia normal earphones hizi hizi low quality za kawaida za buku teni or 15, lakini playerpro nimeona ni bora zaidi, with best sound quality.
Uzuri wake nikwamba hii prayer sio kazi ata kidogo kupata full, tofauti na poweramp etc.
Download hii player na kisha download DSP pack then furahia.
bila kusahau kufÃ-nya settings chache kwenye Dsp pack
Na ina play mpaka video japokua inashare ile inbuilt player.