Increase PayPal services in Tanzania (Petition)

Kama ni mtumiaji wa paypal na ungependa uweze receive paypal payments in Tanzania piga kura yako kwa kufuata hiyo link hapo chini. Hadi Malawi wanapokea paypal payments, why not us?

Petition: Increase PayPal services in Tanzania
Mm nilijua hii site wametoa wao PayPal....

mara nya mwisho nimewa contact walisema sheria za nchi yetu ndo hazijakaa vyema kutuwezesha hilo..

Mfano Angalia Kenya wanaruhusiwa lkn waliteseka mpaka kuna benk moja tu inaruhusu paypal withdraw ambayo ni Equity Bank...
https://epal.equitybankgroup.com/paypal/pages/paypal_withdraw_service.html

Kwa hapa Bongo land unavyoona bank gani itafaa?
Iwapo CRDB iliyo popular wanashindwa wakati mwingine ku automate refunds yaani mpaka ufunge safari uende Azikiwe kuandika barua na vithibitisho vya refund

Tu assume Equity wamejitoa kwa hilo...je Equity bank imeenea kiasi hicho?

Bado kuna challenge nyingi nahisi ndo maana hawatupi support...

Ila kwa sasa watu tunatumia Paypal accts kupokea hela kwa maatercard/visa card zilizo linked na US payment services
 
trust me hio site hata tuvote watu laki 1 viongozi wetu hawatajua na hata wakijua huenda wasielewe? Kuna kitu chochote tanzania kiliwahi fanikiwa kwa njia hio? Petition za bongo ni maandamano
 
Nikifungua account na hao Equity Kenya, nikalink card yao na paypal account ambayo ina card za hapa Tanzania paypal watafungia account yangu kwao?
Mm nilijua hii site wametoa wao PayPal....

mara nya mwisho nimewa contact walisema sheria za nchi yetu ndo hazijakaa vyema kutuwezesha hilo..

Mfano Angalia Kenya wanaruhusiwa lkn waliteseka mpaka kuna benk moja tu inaruhusu paypal withdraw ambayo ni Equity Bank...
https://epal.equitybankgroup.com/paypal/pages/paypal_withdraw_service.html

Ila kwa sasa watu tunatumia Paypal accts kupokea hela kwa maatercard/visa card zilizo linked na US payment services
 
Nikifungua account na hao Equity Kenya, nikalink card yao na paypal account ambayo ina card za hapa Tanzania paypal watafungia account yangu kwao?
Kama una access ya Kufungua Bank Equity Kenya fanya hivo lakini unaitaji kutembelea tovuti special ya nchi inayipokea hela i.e yenye button ya withdraw money
e.g www.paypal.com/tz hii site haina withdraw money wakati www.paypal.com/ke ina option hiyo iwapo ume sign up for business acct

Hivo kama una paypal ume sign up kwa TZ na umeweka Visa/MC za Bongo inakupasa kufungua Acct nyingine preferably link ya Kenya ambayo na adress itabidi utumie ya Kenya
 
IP address itakuwa tatizo
 
Nimesign bac tu ila i dont think it will help..
Hili swala ni bank yoyote ya bongo kuingia agreement na Paypal! tatizo ni bank zetu ziko nyuma thats all, na bongo wataalam wa computer naona bado sana.
 
Back
Top Bottom