Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wakuu nashindwa kuelewa kuhusu FB post engagement. Kwa maana utakuta post ina 350 views, 13 engagement 4 likes, 2 comments, total interaction 6. Sasa je hizo engagement 7 Zimetoka wapi...
0 Reactions
18 Replies
250 Views
Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kinashiriki katika Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2026 yanayofanyika katika viwanja vya Chinangali jijini Dodoma, kwa lengo la kutoa elimu kwa wananchi kuhusu...
0 Reactions
1 Replies
115 Views
Baada ya kuzindua DJI OSMO Pocket 4 mwezi April, DJI pia walidokeza kidogo Pocket 4 Pro, ambayo ilionekana inakuja na lens mbili. Finnaly wamefanya officially launch. Hii pocket gimbal camera...
2 Reactions
6 Replies
137 Views
New malware spreading across Android devices via text messages promises free Amazon gift cards but delivers only spam to everyone on the device’s contact list. The “Gazon” threat, as it is...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu naombeni msaada wa video downloader ambayo isio ya kulipia maana nimejaribu kulipia snapany inakuwa inakataa ...ningefurahi zaidi kupata ya ku copy na ku paste link .... shukrani
3 Reactions
2 Replies
128 Views
Wadau msije kukosea kudukua simu za wapenzi wenu mtakufa na presha bure...........................kuleni maisha bhn .....
0 Reactions
5 Replies
176 Views
Je, umedondosha simu yako kwenye maji au imeingiwa maji?. Usipate tabu, Ukichukua hatua za haraka unaweza ukaiokoa isiharibike. Hatua ya kwanza kabisa itoe kwenye maji haraka iwezekanavyo kwani...
1 Reactions
5 Replies
7K Views
Samsung baada ya kushika soko kwa muda mrefu wakajisahau na kuona wanaweza kufanya wanachojisikia sokoni , google pixel wakaja wakawapiga bao na sasa vijana wengi hupendelea zaidi kuliko Samsung...
8 Reactions
198 Replies
9K Views
Wakuu, naomba msaada wa ushauri na connection za laptop nzuri yenye specs za kufanya kazi nzito kidogo kama programming, video editing, gaming, 3D rendering na data analysis. Napendelea zaidi...
3 Reactions
17 Replies
504 Views
Habari wakuu, Leo Juni 9, 2026, kampuni ya Anthropic (watengenezaji wa Claude) wamezindua mifano miwili mipya ya akili unde - Claude Fable 5 na Claude Mythos 5. Hii ni habari kubwa kwenye dunia...
6 Reactions
8 Replies
262 Views
Asilimia 95% ya simu za iphone ambazo watanzania wengi wanauziwa kwenye box huwa ni simu used…. Je, Ulikuwa unajua hili ? kama hujui basi habari ndio hiyo. ……naona unabisha pengine wewe mwenyewe...
6 Reactions
17 Replies
494 Views
Habari. Kuna mtu anauliza taratibu za kuanzisha app kwa hapa tanzania hadi iweze kua downloaded playstore/App store. Je, ni taratibu zipi anahitaji kufuata? Je itahitaji kwenda Tra,Tcra,Brela nk...
7 Reactions
39 Replies
577 Views
Kati ya iOS,Windows,Blackbery na Android ipi OS unaikubali zaid?
2 Reactions
89 Replies
14K Views
Airtel mna customer care mbovu kwenye simu. Okay, nikaona nije dukani kwenu, aisee…! Okay tuache ilo. Sasa hizi 5G router zenu za ZLT X25 zina lifespan ya muda gani? Yangu imeanza kimasihara...
12 Reactions
26 Replies
1K Views
Njoo PM tufanye jambo, kila aina ya system natengeneza bei ni kulingana na complexity quality kulingana na bei Karibu
0 Reactions
9 Replies
134 Views
Kama kichwa cha habari kinavojieleza,ni ipi blender nzuri kati ya kenwood au mach one
4 Reactions
21 Replies
425 Views
Habari wakuu, Smart board aina ya SIMI inawaka na kuishia kwenye Logo ya SIMI na Kisha kuzima na kujiwasha Tena, msaada please
0 Reactions
2 Replies
91 Views
Jana kwenye WWDC 2026 Apple wamezindua iOS 27, macOS 27 Golden Gate, iPadOS 27, na watchOS 27. iOS 27 itakua supported na simu zote kuanzia iPhone 11 kuja juu. iPadOS 27 itakubali kwenye iPad...
6 Reactions
6 Replies
173 Views
Kuna aina nyingi za simu , baadhi zinafanya vizuri sokoni na nyingine hazifanyi vizuri na zikiwa na sababu tofauti . Makala hii itaangazia aina za simu zenye matatizo makubwa ambapo sikushauri...
26 Reactions
72 Replies
14K Views
Back
Top Bottom