DJI wamezindua OSMO Pocket 4 camera!

DJI wamezindua OSMO Pocket 4 camera!

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
32,025
Reaction score
91,681
DJI watabe wa drones, gimbals na camera kutoka China, leo officially wametuletea DJI Pocket 4!
IMG_7719.jpeg

Kwa mliowahi kutumia Pocket 3, nadhani mtakua mmejua ni kitu gani DJI wamefanya. Alot of upgrades!
IMG_7721.jpeg

Nitajaribu kulist upgrades za kutoka Pocket 3 kuja 4 zilizosikika leo kwenye keynote:

  • Sensor size imebaki ile ile 1 inch CMOS sensor.
  • Resolution imetoka 9.4 MP hadi 37 MP.
  • 4K upto 240 fps wakati zamani iliishia 120 fps.
  • Zoom 2x loosless wakati zamani ilikua digital zoom tu.
-Storage 107 GB + micro sd wakati zamani ilikua micro sd tu.
  • Audio 4 Channels wakati zamani Sterio tu.
  • Control imeongezewa buttons zaman ilikua joystic tu.
IMG_7720.jpeg

Kwa upande wangu, nimeona sample videos na photos zinavutia. Ila kama una miliki Pocket 3 sioni ulazima wa ku-upgrade ukichukulia bei yake ya $520

PS: Kuna tetesi za DJI OSMO Pocket 4 Pro. Hii kama ni kweli sasa watu watalala milango wazi.
 
Back
Top Bottom