Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wazee wa mji naomba kwa uzoefu wenu ipi ni nzuri kati ya Meta AI na ChatGpt kwa kutafuta majibu ya mambo mbali mbali ?
1 Reactions
17 Replies
571 Views
Wana Tech forum Nijifunze skills ipi kati ya Digital marketing au Graphics design especially kwenye Motion graphics ? Kulingana na soko la Sasa kwenye nyanja hizo za technology
0 Reactions
10 Replies
767 Views
Wakuu kama heading inavyosema naomba wenye uzoefu wanipe muongozo.Sitaki bidhaa ya Dubai. Leta ushuhuda wako pia kwa simu ya Samsung unayotumia. Nawezaje kujua simu fake na Original?. Nina 550k
13 Reactions
109 Replies
5K Views
Inatokea Tanesco wamekata umeme kwa siku 2 Nahitaji vitu gani mfano battery au power bank,n.k. niweze kukidhi mahitaji ya umeme kwa siku 2 kwa vifaa vidogo kama Smart phone 4 zinazochajiwa mara...
3 Reactions
13 Replies
668 Views
Salaam Wakuu, Naombeni mapendekezo ya simu the best kwa bajeti isiyozidi tsh milioni moja [1,000,000]. Nilikuwa natumia samsung a52 5g kwa bahati mbaya kioo kimeenda. Vigezo navyozingatia ni...
4 Reactions
38 Replies
2K Views
Habari wataalamu, Niko mbioni kununua simu yenye uwezo mkubwa kwa ajili ya shughuli zangu za kiofisi, katika pita pita nimevutiwa na hizi simu mbili Xiaomi 15T na Samsung A56, Wataalamu hapa...
6 Reactions
51 Replies
1K Views
Vita ya kiuchumi kati ya USA na China inazidi kupamba moto. Baada ya kuweka vikwazo vingi kwenye magari ya umeme (EV) kutoka China, sasa panga limekuja kwenye drones. Federal Communication...
0 Reactions
2 Replies
141 Views
wakuu habari zenu, nauliza hili swali kwasababu kuna mwanafunzi nilimpa cpu nikakuta kaiweka juu ya ndoo badala ya meza ya mbao
2 Reactions
3 Replies
148 Views
Toleo jipya la iPhone 28 Pro na iPhone 18 Pro Max halitakuwa na Dynamic Island na Face ID itakuwa chini ya kioo. Ikumbukwe, Dynamic Island ilianza kutumika kwenye iPhone 14 Pro na kuendelea...
1 Reactions
4 Replies
284 Views
Kipindi nilikua napata mda wa kuwa free nilikua nafanya project ya kutengeneza ecommerce application, mpaka sasa naona imekamilika baada test za hapa na pale https://voxmart.co.tz/
4 Reactions
5 Replies
508 Views
Ram 8 gb SSD 512 Processor Intel(R) Core (TM) 7-1065G7 1.30ghz Bei 750,000 13 inch display Used
1 Reactions
2 Replies
164 Views
Hallo. Hbr wana JF. Natumaini kila mtu atakuwa ashasikia kuhusu CLOUD SERVER, kama vile DropBox, Google cloud etc. Hizi huduma huwa zinapatikana kwa mothly rental fee au bure kwa limited access...
2 Reactions
0 Replies
175 Views
Waungwana nimejaribu kufanya hivyo nimejikuta natumbukia kwenye website ya nsa.go. Je hiyo kitaalamu imekaaje? Kuna uhusiano wowote baina ya hilo neno illuminati na hao jamaa wa national security ag?
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wanazengo? Mwezi ulipoita nilichukua simu aina ya Infinix hot 12 play nikawa natumia lakin charge yake nikasahau Mkoa flani na mimi nikaenda mkoa mwingine sasa nikawa naitumia na simu...
6 Reactions
9 Replies
699 Views
Nilinunua wifi adapter zinabagua kuunga wifi, mfano nikiwasha hotspot ya simu inaunga lakini nikitumia touter mifi inakataa kuunga inandika cant connect to this network. Nilitafuta sana...
2 Reactions
6 Replies
547 Views
Utalipwa Dola $200,000 ikiwa utatoa sura na sauti kwa Roboti Kampuni ya kuunda Maroboti toka Russia Prompt imeweza kutoa ofa ya Dola $200,000 kwa mtu Yeyote anayetaka kuchukua sura yake apewe...
4 Reactions
36 Replies
2K Views
Ushindani michezo ya game miaka 80 -99 ulikuwa mgumu kwa kampuni ya sonny. Walichofanya wao katika kifaa chao walitengeneza kwa bei kubwa na kuuza bei ndogo. Kampuni za software za michezo...
1 Reactions
2 Replies
231 Views
Somo la thread linajieleza,natafuta laptop computer zenye uwezo wa kati hasa zile nyembamba zenye screen pana,je ni maduka gani yako reputable kwenye uuzaji wa laptop nzuri,pia na hata bei ziwe...
3 Reactions
21 Replies
658 Views
Tuki entertain upuuzi kama huu, tutaua hata hiki kidogo tulichonacho kwenye tech..... Sijajua kwanini watu wamekua kimya kwenye hiki kitu, lakini ni moja kati ya policy ya kipuuzi kuwahi...
2 Reactions
7 Replies
500 Views
Wenzetu wanazidi kusonga mbele.Usalama wa dubai swala la wizi unaweza kuwa umezibitiwa sana. Sasa wamekuja na ATM ROBOT ambayo itajileta yenyewe na kutoa pesa. 😄 Kibongo itakuwaje ikaitwa...
2 Reactions
4 Replies
248 Views
Back
Top Bottom