Hivi ya matablet ya sensa(ZTE) yanagoma kupigwa hard reset

Mechanic 97

JF-Expert Member
Feb 6, 2021
506
826
Wakuu nimeletewa tablet hapa wameniambia dogo alikua anachezea gemu Sasa baadaye wakafungua Kwa password Ile Ile ya 2022 lakini Ngoma inasema wrong password. Nimejaribu kufanya hardreset lakini Ngoma draw. Pia nimejaribu Kwa erase Kwa kutumia find my device lakini bado napata changamoto msaada wakuu.
 
zilikua kwajili ya matumizi ya sensa tu. Full stop.
 
sawa bas ngoja tusubiri majibu mujarabu ya kitechnolojia kutoka kwa wataalamu maana naziona izo vitu nyingi ni screpa kwa mafundi simu mtaani
Basi sawa mkuu kumbe umejifunza Kwa kuona nilikua najua na wewe ni wale chawa wa CCM walio waaminisha makalani kuwa wangeuza ng'ombe na viwanja pindi pale vishikwambi vingepata kupotea au kuibia hafu kaza kuzama AliExpress kishikwambi ni laki na nusu nikajisemea hii.
 
Kumbe mkuu wewe ni Nyumbu?
 
Nilikua najua mkuu wewe ni chawa kutokana na jibu la awali Sasa makasiriko ya nini?
sasa nyumbu si upeleke hilo screpa wakalikorokochoe na kulitindua vizuri lizime kabisa ili upoteze muda na pesa kidogo vizuri kwa fundi
 
Back
Top Bottom