Nahitaji Speaker na Mic mbili zile zinazotumika sana kuhubiria Injili barabarani(mitaani).
Naomba mnishauri ni aina(brand) ipi ina ubora wa sauti, portable na sifa nyingine muhimu za ziada...
Habari wadau wa audio. Natafuta Subwoofer ya inchi 10 (Used/Mitumba) kwa ajili ya DIY project yangu ya chumbani. Target yangu ni kupata Quality Bass kwa ajili ya RnB na Trap (Tight bass, siyo...
Kwa kipindi sasa nimekuwa nafuatilia computer nzuri kwa upande wa programming na video editing. Sio mtaalamu wa video editing ila napenda kufanya tu for fun. Kwa kuwa nimebobea kidogo kwenye...
Habari wakuu?
Nahitaji smartphone nzuri affordable isiyozidi laki Tano inayoweza kutunza charge angalau kwa saa 30 au zaidi
Nimeambiwa simu zenue betri ya 7000mHA zinakaa na charge ikiwepo...
ClimCam is an Earth observation tool developed through the UN Office for Outer Space Affairs and Airbus program, set for deployment on the ISS to monitor East Africa multiple times daily for early...
GoPro Hero ni jina maarufu sana kwa wapenzi wa camera, especially Action Camera.
Tokea Hero 1 mwaka 2009 hadi Hero 13 Black mwaka 2025 mengi sana yametokea kuboresha tasnia ya Action Camera...
Hii December nimepigwa ban mara sita
Nimetumia number mpya hiyo hiyo ikapigwa ban
Nimeadd member kwenye group nikapigwa ban
Nimetuma text kwa chatgpt nikapigwa ban
Kurud hiv vitu vikawa...
Habari wana-tech,
Leo nataka kuwashirikisha mradi wangu mmoja wa open-source unaitwa OllaBridge. Huu mchongo utawasaidia sana ma-developer wenzangu wanaotumia shared hosting (kama Hostinger...
Kwanini matumiz ya vifaa vya mawasiliano vilivyoungwa au kutumia satelaiti ni haramu kwa matumizi ya kijamii na ata ukitaka kutumia kihalali basi utakutana na vikwazo vingi sana tena nimegundua...
Kwanza kwa niaba ya Familia nzima ya HONOR Tanzania (inatamkwa HONA) tunashukuru Timu ya 'Jamii Forums' kuturuhusu kuja huku kwaajili ya kuendeleza elimu na ubadilishanaji wa ujuzi na kuchangia...
Nataka nianze work from home.
Sasa naulizia hizi PC naziona online bei Tsh 550-750k All in One, majina makubwa kama Dell, HP, Lenovo.
Sasa niko hapa najiuliza, zina faa au danganya toto?
Kama...
The browser is the "engine," but the proxy is the "fuel." Even a Ferrari (MoreLogin) won't move if you put water in the tank (Free Proxy/VPN).
--
Kwa sasa natumia Browser hizi:
Incogniton...
ChatGPT ni artificial intelligence iliotengenezwa na openAI, unaweza iuliza ikuandikie barua, report, inaweza kutengeneza website na mengine mengi, yajayo ni hatari sana
Hii kitu nimekuwa...
This ebook introduces the world of Data Science in a simple and practical way. It covers key concepts such as data collection, cleaning, analysis, visualization, and machine learning.
You will...
Habari wadau wa Technologia natumai mko poa
Msaada wi-fi na hotspot hazifanyi kazi kwenye simu yangu nahii imetokea baada ya AC kuzingua sasa nimejaribu kureset mobile network lakini bado...
Simu in Samsung A12 Nili nunua unboxed haijawahi sumbua kabisa ,ila hili tatizo lime anza baada ya kubadii kioo Nili peleka kwa fundi aka badili waya wa mtandao lakini tatizo Bado lipo aka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.