Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Anonymous
Wakuu Salaam Sorry hivii mitandao ya simu inawajibika vp kumlinda mtumiaji wao dhidi ya wezi au matapeli wa kimtandao? Kwa sababu kwangu me naona kuamini kwamba wote wanaotapeliwa hutapeliwa kwa...
0 Reactions
0 Replies
72 Views
Huu wakati ambao asilimia kubwa ya vitu tunategemea simu aidha kama njia ya mawasiliano, wengine simu ndio ofisi yaani wanatumia kuingizia kipato au wengine kama vifaa vya kujiburudisha kwa...
3 Reactions
12 Replies
771 Views
Sijui ni mimi tu mafundi niliowahi kutana nao au lah. Kama kule Kariakoo. Mitaa kama Aggrey na Uhuru zina mafundi simu wengi ila wengi kama siyo wote ni miyeyusho. Mikoani huko ndo kabisa. 1...
24 Reactions
60 Replies
10K Views
Wakuu naomba mnisaidie ushauri nataka kununua TV inch 55 ya kudumu nayo muda mrefu. Sasa kati ya LG Oled android processor vs Samsung Neo Qled android processor. Ipi itanifaa zaidi na reasons...
1 Reactions
14 Replies
364 Views
Habari, Naomba tusaidiwe kufikisha ujumbe huu kuhusu huduma ya mtandao wa Airtel. Kwa sasa tuna siku ya tatu hatupati huduma ya intaneti kabisa, lakini kila tunapowasiliana na huduma kwa wateja...
3 Reactions
6 Replies
261 Views
Meta Imeweka Mkazo Zaidi Kwenye Huduma za Kulipia (Subscriptions) Siku ya Jumatano, kampuni hiyo kubwa ya mitandao ya kijamii ilitangaza kuwa inazindua rasmi huduma zake za kulipia kwa watumiaji...
2 Reactions
1 Replies
296 Views
Nilipoteza namba yangu ya voda kabla haujaingia mfumo huu wa sasa wa kusajili kwa NIDA na kuthibitisha. Baada ya huu utaratibu kuanza ikawa imepewa mteja mwingine. Natamani niirejeshe iwe yangu...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari za jioni wana-jamvi (au habari za muda huu), Katika kipindi hiki ambacho gharama za umeme na changamoto za kukatika kwa nishati zinazidi kuongezeka, nimeona vijana na akina baba wengi...
1 Reactions
0 Replies
142 Views
Kumekuwa na vilio na matukio mengi ya watu kuibiwa au kupoteza simu/vifaa vingine kama hivyo. Wananchi wengi wamekuwa wanaona kama wakipoteza vifaa vyao uwezekano wa kuvipata tena ni mdogo sana...
6 Reactions
18 Replies
275 Views
Elon Musk anasema SpaceX inaweza siku moja kujenga vituo vya data angani, na hata kwenye Mwezi. Wazo hili linasikika kama hadithi za kisayansi (science fiction), lakini mantiki yake ni rahisi...
0 Reactions
0 Replies
107 Views
Kuanzia mwaka 2027, Ulaya inashinikiza watengenezaji wa simu na kompyuta mpakato (tablets) kubuni vifaa vyenye betri ambazo watumiaji wanaweza kuzibadilisha kwa urahisi zaidi. Kanuni hii ni...
1 Reactions
4 Replies
181 Views
Aliyeunda VLC Media Player aliwahi kupewa ofa ya mamilioni ya dola ili aiuze programu hiyo, ambayo ingegeuzwa kuwa ya kulipia na yenye matangazo. Lakini alikataa! akaamua ibaki bure kwa watumiaji...
11 Reactions
21 Replies
1K Views
Utangulizi Katika karne ya 21, dunia imeingia katika enzi mpya ya mabadiliko ya kidigitali (digital transformation). Kila siku, mabilioni ya taarifa (data) huzalishwa kupitia simu za mkononi...
1 Reactions
0 Replies
168 Views
Sasa TTCL wameamua kuingia mazima kwenye huduma za intaneti ya kisasa. Usambazaji wa fiber internet unaendelea kwa kasi kubwa, hasa maeneo ya mijini ambako huduma hii inazidi kuwafikia wananchi...
11 Reactions
66 Replies
2K Views
Wanaopenda kuedit video, for fun au kwa biashara. Unatumia software gani? Free, paid au cracked? Natumia Windows Laptop sio Mac. 16 GB RAM inatosha au nipande juu? Kwa sasa najifunza color...
1 Reactions
7 Replies
237 Views
Habari za sasa Mabibi na Mabwana, Matumaini yangu ni kuwa mnaendelea vyema kabisa.. Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ✋ ANGALIZO: Popote utakaposhare post hii au kuihifadhi, tafadhali...
4 Reactions
22 Replies
4K Views
Kuna namba ya simu ipo kwenye Contact yangu nimeifutq kwenye Contact imefutika siioni lakini chakushangaza kwenye WhatsApp yangu bado hipo na status zake bado naziona. Nimejaribu kuifuta imegoma...
2 Reactions
12 Replies
334 Views
Hapo pichani ni Submeter ya Umeme niliyoikuta kwenye nyumba ya kupanga Ina namba ya mita yenye tarakimu sawa na ya TaNeSCo. Naomba kufahamu Inafanyaje kazi
3 Reactions
10 Replies
3K Views
Back
Top Bottom