memory card
JF-Expert Member
- Dec 17, 2013
- 259
- 167
1) Nina dell c610, mwanzoni ilikuwa INA access vizuri DVD/CD na modem ilikuwa inasoma lakini naamini kuna kiumbe ame uninstall baadhi ya vitu kwa sababu CD haisomi tena wala modern haidetect.
2) Na je vipi nikitaka kuweka window 7 ultimate itakaa, pamoja name wireless.
Nahitaji ushauri au kama kuna mtaalam wa hivyo anitafute au ani PM..
2) Na je vipi nikitaka kuweka window 7 ultimate itakaa, pamoja name wireless.
Nahitaji ushauri au kama kuna mtaalam wa hivyo anitafute au ani PM..