Simu yangu samsung haikubali video za youtube

mgange hussein

Senior Member
Sep 10, 2012
159
43
Heshima kwa wote wana jamiiforum.Simu yangu Samsung E2222 haikubali kuonyesha Video za Youtube.Kila nikitaka kuangalia inaandika NOT SUPPORTED CONTENT. Kama simu inauwezo naomba maelekezo.Amani iwe kwenu.
 
Simu za samsung nyingi zinasumbua kucheza video za youtube. Mimi nakushauri uwasiliane na watengenezaji ili kupata suluhisho.
 
Samsung zinasuaua sana videos, hakuna ujanja hapo, mwenyewe natumia E2152 lakini youtube haiplay
 
Hiyo simu haina uwezo wa kucheza video za youtube, next time nunua Samsung ambayo ni Android.
 
Kumbe kwa staili hii kabla ya android kuingia ndiyo maana Nokia walikuwa wanakimbiza.
Nokia walikuwa hawababaishi.Siyo kama Samsung,simu kuuubwa kumbe youtube haliplay.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom