Cm yangu ya blackberry huwa inakuwa ya moto sana ninapoiweka kwenye chaji, inakuwa ya moto sana na inaendelea kuwa ya moto hadi chaji iishe ndani ya dakika 10 ndo inapoa. Naombeni msada wenu wa kiufundi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.