MWANDENDEULE
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 5,306
- 10,977
Nina simu yangu VIWA MAX 5 napenda sana ni-uninstall built-in apps kwenye simu yangu maana sipeendelei ziendelee kuwemo kwani sizitumii na zinahitaji updates mara kwa mara. mfano Twitter, maps, etc.
Nisaidieni wajuz.
Nisaidieni wajuz.