the locksman
JF-Expert Member
- May 5, 2012
- 1,106
- 357
Nina Samsung ch@t222 GT-E2222, nimefanya master reset leo baada ya kuzima haijawaka tena, ina switch ON na OFF muda wote hadi utoe battery. Msaada nitawezaje kuiwasha tena. cc Chief-Mkwawa
Nina Samsung ch@t222 GT-E2222, nimefanya master reset leo baada ya kuzima haijawaka tena, ina switch ON na OFF muda wote hadi utoe battery. Msaada nitawezaje kuiwasha tena. cc Chief-Mkwawa
Kies haikubali nimewahi kujaribu kipindi flani hiviJaribu kutumia kies japo sina uhakika kama inakubali simu yako. Kies unadownload kwenye pc, install upya software ya simu.
Nilisahau password ya folder na pia ilikua inanisumbua kufungua playlist ya nyimbo zangu.Hii simu chat222 niliwahi kuwa nayo. Na navyokumbuka samsung kies iligoma ku update, nilijaribu baadae nikagundua kies haisaupport, kuna vi software nilivi google ingawa sikuendelea na mpango wangu
samsung chat ni sheeder....
hiyo si ndo haifungui hata utube?,yaani haisupport
samsung chat ni sheeder....
hiyo si ndo haifungui hata utube?,yaani haisupport