Msaada: Jinsi ya kuseti Default Launcher kwenye TECNO L6

Naipuli

JF-Expert Member
Oct 8, 2012
261
250
Habari zenu wakuu,
Natumia simu aina TECNO L6, lakini shida kubwa ninayokutana nayo ni pale ninapojaribu kuseti Launcher nyingine kama Go, TSF, Smart etc kuwa Default Launcher.

Kila ninapo reboot au kubofya Home key ya simu yangu, inanitaka nichague upya Default Launcher.
Kwa mwenye ufahamu na ujuzi katika hili tafadhari anisaidie niweze kuachana na matumizi ya launcher ya simu ya kujia.
 

New Nytemare

JF-Expert Member
Dec 15, 2011
3,218
2,000
Ingia setting-apps-all-then tafuta neno launcher-utaona neno clear defaults..hapo utakuwa umemaliza ikikuliza tena default chagua hiyo launcher unayotaka mambo poa...ila ma phantorn z yanagomaga
 

Naipuli

JF-Expert Member
Oct 8, 2012
261
250
Nashukuru ndugu, lakini hizo hatua zote nimejaribu kufanya lakini bado imegoma.
Na kwa upande wa TSF LAUNCHER nimepakuwa hadi ile patch yake lkn bado kitu kinagoma.
 

ymollel

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
3,052
2,000
Nashukuru ndugu, lakini hizo hatua zote nimejaribu kufanya lakini bado imegoma.
Na kwa upande wa TSF LAUNCHER nimepakuwa hadi ile patch yake lkn bado kitu kinagoma.Ndugu umejaribu clear defaults ?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom