Msaada nokia X2-02

Msaada nokia X2-02

g click

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
2,427
Reaction score
511
Simu yangu imepata tatizo kwenye kioo(screen) inavuja wino kama robo tatu ya kioo kimezibwa kwa mwenye uelewa tafadhali naomba msaada nini cha kufanya
 
Cha kubadirisha hicho,njoo kariakoo0715378899
 
Back
Top Bottom