Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Baada ya pita pita zangu katika forum yetu ya Tech, Gadgets & Science nimeona kuna jamaa yangu kajaribu kuelezea faida na hasara za Windows phone. Nami naomba nielezee faida nilizoziona...
8 Reactions
65 Replies
12K Views
Samsung gt-s6102 imegoma kurudi 2.3 gingerbread kwa kutumia odin. Nilifanikiwa kuifanyia rooting na nikapachika 4.4 kitkat ila ile rom sijaipenda nikaona bora nirudishe rom ya kwake sasa imegoma...
0 Reactions
0 Replies
869 Views
Hii ni kwa ajili ya Samsung Galaxy S na Galaxy Note.. Tupe tatizo lako tusaidiane
1 Reactions
41 Replies
5K Views
Habari zenu wakuu Naomba kuuliza kwa wale waliotumia nokia lumia!! Je kuna jinsi ya kuchange mpangile wa apps uonekane kama android!! i mean from List view to Grid kaam android inavoonekanaga
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu wana teknolojia,nahitaji kununua moja wapo wa hzo chip kwa ajili ya simu yangu mwenye nazo tuwasiliane ni vzuri ukataja na bei nipo bukoba manispaa 0769027920/0656803210
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za jioni wadau nahitaji web designer atae nitengenezea website inayo dili na habari mbalimbali Unaweza nicheki watsap ili tuongee biashara +258845418066
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wakuu naomba msaada wa namna ya kufanya sim card clonning nawasilisha CHIEF MKWAWA snipa
0 Reactions
2 Replies
944 Views
Habari zenu .....wakuu unajua kuna social network nyingi ambazo tunatumia kwa voice call ..ikiwemo IMO .whatsaap na kadhalika lakini kiupande wangu hii BBM iko poa sana kushinda network nyengine...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nahitaji msaada simu yangu ni Note II orignal lakini imekuwa programmed kupandisha 2G(Edge) network only wakati ukienda kwenye network options unakuta inaweza pandisha hadi 4G na 3G/ WCDMA ila...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
leo nimeanza kureceive notification za jf kupitia tapatalk kuifungua nikakuta inafanya kazi hadi kulogin unaweza, wale wenye windows phone munaweza kudownload tapatalk store then search...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
nine weka twpr kwenye sim...baadae nikaweka 12 ikawa inasoma lolipop android v 5.0.2 lkn sikuweka gapps....ikawaka lkn haikuwa Na Google apps nikaanza kudownload gapps 5.0.1 kuweka ilagoma...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ni kuhusu music system/ Radio, nimesikia kila Nchi inatumia power supply tofauti tofauti mfano Tz tunatumia 220v, naomba mnisaidie hili nisije nikaingia chaka kuna mziki wameandika "power input is...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu. Naomba msaada wenu juu ya mada tajwa hapo juu kama inavyojieleza. Nahitaji kumtumia mtu app ambayo nimei-download toka playstore lakini nimtumie kwa njia ya bluetooth je...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Nani amefanikiwa ku unlock wifi hotspot aina ya huawei e-5331 za voda anisaidie maujanja
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wakuu natafuta hivi vitabu, msaada kwa mwenye navyo .Python cook book .Learning python .Python for data analysis .Python essential reference .Python programing an introduction to computer...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu wadau naombeni msaada nina simu yangu y530 nikiizima harafu nikitaka kuiwasha yanakuja yale maandishi ya android logo yanayoanza na herufi c na hapo itaseach nahaitafunguka kabisa...
0 Reactions
4 Replies
902 Views
I want to have a new phone which is the best between Sony xperia Z2 and Samsung S5
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Habar wanatech geeks msaada kwa anaefaham bei na wap ntapata kioo cha samsung galaxy s2 plus Original kwa bei nafuu!Simu yangu imevunjika kioo wino umevujia sion chochote kwa sasa!shukran
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Naomba mnisaidie, iPhone yangu inamaliza sana MB Megabytes sijui ndyo iPhone zote au ni ya kwangu tu, kama ni setting naomba mnielekeze nifanye setting, yaani nikinunua Mb700 fasta tu utaskia...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
If you download a "PDF" file and you see it ends in ".exe" delete it. Its a virus
0 Reactions
1 Replies
835 Views
Back
Top Bottom