Nimepata na tatizo la microsoft Net framework 3.5 katika windows 8.1 mana kuna apps nikitaka kuinstall inadai hicho kitu nimejaribu kudownload online imeniandikia error 689 na nimejaribu command...
Habari za miangaiko ya maisha wakuu, pole sana kwa kazi
Kwa wale wenye ujuzi na mambo ya kompyuta naomba minisaidie jinsi ya kuondokana na hili tatizo la Microsoft Net framework 3.5 kwenye windows...
Hii simu yangu ina internal storage ya 256MB lakini nikihesabu application zote jumla yake ni 109.44MB nashindwa kuelewa MB nyingine zimeenda wapi maana inaonesha nafasi iliyobaki ni 23.23 MB,kwa...
Hodi hodi asubuhi hii, ndugu zangu wanajamvi nimeamua kuwafuata asubuhi hii, kwanza kabisa niwaombe radhi wale wataalam wa Android kwa kuwa mimi pia nilijidai mtaalamu kumbe siwezi lolote...
Nimepewa Line leo na niko naijaribu hapa imekuja na kifurushi cha bure ila sijaelewa kama 5times faster than normal 3G speed ndo hizi au hapa nilipo majanga...Speed zao nazilinganisha na Airtel 3G...
Jamani naomba mnisaidie wake. Mini Nawaamini Sana. Mimi natumia simu ya Tecno h6. Tatizo ni kwamba napodownload au kuweka pic au videos kwa njia yeyote Ile, baada ya Muda mfupi inakataa kufungua...
Habari za leo wanajukwaa!! Leo yamenikuta wanajamvi, naomba sana msaada wenu juu ya hili.
Ni hivi, katika pita zangu humu jamvini nikaona kuna post inasema kuwa Windows Phone developers wametoa...
Habari za muda huu wana JF,
Nimeona kupata Ushauri si vibaya nimesahau no ya sir ya akaunt ya Facebook halafu kwa bahati mbaya nikapoteza laini yangu sasa nilikuwa naitaji kuingia neno siri...
Habarini Wandugu........!!!!
natumia sim aina ya Tecno Tecno experience smart life kwa bahati mbaya jana iliingia maji lakini sikujua mpk leo asbh kiasi nimekuja kuona tu Touch haifanyikazi...
Help!! How do you root Huawei Y330??
I've tried everything, it only does half root i can't remove system apps
I've tried
Kingroot ,Towelroot, Framaroot ,Kingoroot, Vroot, Rootgenious, Rootmaster...
Jamani, naomba msaada,
Nina laptop aina ya dell inspiron N5040, nimeamka asubuhi,naiwasha ina display mwanga tu pasipo maandishi. Jana usiku nimeitumia. Sasa kabla ya kuipeleka kwa fundi...
Wataalam naombeni msaada wenu.simu yngu kila nikitaka kudownload apps inaniandikia insuffient storage device.
Nimefuta karibu vitu vyote space iwepo lakini nikidownload tena inaandika hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.