Waungwana naombeni msaada wa namna ya kuondoa matangazo kwenye Website, maana nikifungua tu Internet Explorer au Fire Fox, yanajaa matangazo ya games tofauti nyingi, na PC Cleaner mpaka...
Wanaojua magari ya Carina T.I hivi hizi Gari kuna zipo model year za 2007 maana mm najua mwisho zipo za 2002 hapa Tanzania nilimsikia mtu akisema zipo. ila ninazo ziona ni hizi 2002 mwenye kujua...
wakuu msaada wenu unahitajika, whatsapp na instagram apps hazifanyi kazi nkiwa na mobile data japo bandwich ya nguvu na yenye kasi inakuwepo ila zinafanya kazi nkiconnect wi-fi...mwenye maujuzi...
Samahani wakuu, kama kuna mtu anafahamu duka lolote ambalo ninaweza nikapata betri ya hiyo tablet (Samsung Galaxy tab 10.1) au kama kuna mtu anaiuza betri hiyo tafadhali naomba anifahamishe
Habari za weekend wana jamvi.
Naomba msaada wa kiufundi nina tv yangu aina ya LG led inch 32 (sio smart wala digital) inakata power ukiiwasha.
Tatizo lilianzia kwenye sauti miezi kadhaa imepita...
Habari ya mchana ndugu zanguni?
Kuna iphone 5s hapa ya dada yangu katika kuichezeachezea kaizoom sasa anashindwa kufanya lolote, nimeikonekti itunes lakini inasema mpaka aingize passcode...
Hii ni app rahisi sana kutumia katika kuroot smartphone yako ya Android.
=====================================
Kipindi cha nyuma nilishawahi kuelezea katika blogu hii maana ya rooting...
WanaJF, inawezekana vp kupiga simu ya emergence sehemu isiyo na network ya mtandao wowote wa simu. Kwa mfano,unaweza kuwa vijijini, na hakuna network, screan ya simu yako inakuandikia SOS...
Habarini wadau nimekuwa nikibadili ROM mara kwa mara kwenye sim yangu samsung gt 5301 lakini jana nilipojaribu kuweka rom (alpha rom) simu inaganda kwenye kwenye picha inayoonyesha model na jina...
Osine and Anesi Ikhianosime
Vijana wawili wadogo wa Nigeria,Osine Ikhianosime miaka 13 na kaka yake Anesi Ikhianosime miaka 15 walishangaza dunia kwa kugundua Application ya kutumika kwenye simu...
Salamu zenu wapendwa, Naomba kufahamu kama simu zifuatazo zinapatika hapa Dar es salaam, duka zilipo na bei.
Simu zenyewe ni:-
Samsung Galaxy Core Prime
Microsoft Lumia 640 LTE
HTC One (M8)...
jamani ee MTU mzima nimeitwa nikamkonectie mama flan jina TV yake flat screen aina hiyo hivyo kijasho kimentoka nimemwambia atafute vitabu ili tujarbu kusoma labda, maana mi mwenyewe nimezoea TV...
Ndg wanajf simu yng aina ya Tecno P5
ninapopiga simu, call haiend na ninapotuma sms
pia haziend.
Pia nisipogusa(touch) kioo kama nilikuwa
naitumia inapoteza mwanga(inasleep) lkn
inaendelea...
HAbar zenu wadau naomba kuuliza kama kuna uwezekano wa kupata display ya htc one m7 mana yangu imenidondoka na kioo kimepasuka ila tachi inafanya kazi kama kawaida jee ninaweza pia kupata na...
Habar zenu wandugu:
Nina pc yangu kwa mda wa mwezi mmoja sasa, niliweka window 8 software, lakin kwa mda wa wiki moja sasa imekuwa ikiniambia "ACTIVATE WINDOWS" 'go to pc settings to activate...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.