Dupe
JF-Expert Member
- Jan 21, 2013
- 1,668
- 813
Habarini Wandugu........!!!!
natumia sim aina ya Tecno Tecno experience smart life kwa bahati mbaya jana iliingia maji lakini sikujua mpk leo asbh kiasi nimekuja kuona tu Touch haifanyikazi kabisa na wala kuzima haitaki, je nawezaje kuirudhisha katika hali yake ya kawaida?