Msaada wanaJF, nimesahau Password ya Facebook

Msaada wanaJF, nimesahau Password ya Facebook

abdulh iddy

Senior Member
Joined
May 28, 2015
Posts
159
Reaction score
6
Habari za muda huu wana JF,

Nimeona kupata Ushauri si vibaya nimesahau no ya sir ya akaunt ya Facebook halafu kwa bahati mbaya nikapoteza laini yangu sasa nilikuwa naitaji kuingia neno siri nilishasahau .

Je, nitafanyaje ili niweze ingia kwenye akaunti yangu.

Ushauri please!
 
Habari za muda huu wana JF,

Nimeona kupata ushaur si vibaya nimesahau no ya sir ya akaunt ya Facebook halafu kwa bahati mbaya nikapoteza laini yangu sasa nilikuwa naitaji kuingia neno siri nilishasahau .

Je, nitafanyaje ili niweze ingia kwenye akaunti yangu.

Ushauri please!


Tumia recovery email uliyojisajili nayo, au nenda ukaRenew line yako
 
Back
Top Bottom