Naomba msaada wenu katika hili

Naomba msaada wenu katika hili

dudukila

Senior Member
Joined
Jun 20, 2015
Posts
134
Reaction score
37
Nimepata na tatizo la microsoft Net framework 3.5 katika windows 8.1 mana kuna apps nikitaka kuinstall inadai hicho kitu nimejaribu kudownload online imeniandikia error 689 na nimejaribu command prompt napo bado cjafanikiwa kuinstall
Nisaidieni kwa hili
 
kadownload kwenye link nyingine au hata torrent
 
Yan hata huko nimejaribu pia nae jau tupu yan mpk nimedata hapa
 
Mm inadai net frame work 3.5 sio 4 kijana
 
Back
Top Bottom