Tatizo kujiona naweza kumbe bunju tu

MOLAM

Senior Member
Oct 12, 2013
141
195
Hodi hodi asubuhi hii, ndugu zangu wanajamvi nimeamua kuwafuata asubuhi hii, kwanza kabisa niwaombe radhi wale wataalam wa Android kwa kuwa mimi pia nilijidai mtaalamu kumbe siwezi lolote.

(1)Mimi natumia simu ya huawei Y300, nashukuru niliomba msaada wa jinsi ya ku-root na nimefanikiwa, ila baada ya ku-root nikajikuta nimevuruga mno system na nime unistall baadhi ya app muhimu.

(2) Baadaye nikawa najaribu kufanya Bootloader unlocker, nahisi imekubali kwani wakati wa kuwasha haionyeshi tena logo ya huawei kuna neno la kiarabu linaonekana halafu lina fuatiwa na neno android.

Ombi/msaada/swali langu
Je, naweza kurudisha zile app muhimu zilizofutwa?
Je, wakati wa kuwasha simu logo ya huawei linaweza kurudi?
Au naweza kuandika kitu kingine likaonekana wakati wakuwasha simu?

Samahani kwa Typ nyingi, naomba kuweka mezani tayari kujadiliwa
 
ymollel

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
3,001
2,000
Hodi....hodi asubuhi hii,, ndungu zangu wanajamvi nimeamua kuwafuata asubuhi hii, kwanzakabisa niwaombe radhi wale wataalam wa Android kwakuwa mimi pia nilijidai mtaalam kumbe siwezi lolote......
(1)Mimi natumia simu ya huawei Y300, nashukuru niliomba msaada wa jinsi ya ku-root na nimefanikiwa, ila baada ya ku-root nikajikuta nimevuruga mno system na nime unistall baadhi ya app muhimu.
(2) Baadaye nikawa najaribu kufanya Bootloader unlocker, nahisi imekubali kwani wakati wakuwasha haionyeshi tena logo ya huawei kuna neno lakiarabu linaonekana halafu lina fuatiwa na neno android......
Ombi/msaada/swali langu je,naweza kurudisha zile app muhimu zilizo futwa?
je, wakati wakuwasha cm logo ya huawei linaweza kurudi?
au naweza kuandika kitu kingine likaonekana wakati wakuwasha simu.......
samahani kwa Typ nyingi, naomba kuweka mezani tayari kujadiliwa

Kabla ya kufanya hayo yote, uliCreate backup? Kama hukuCreate backup kwa kuwa simu yako bado nzima unaweza kuInstall custom recovery then seach google for StockRom ya simu yako halafu utaInstall hiyo stock rom.

Otherwise flash na stock rom
 
MOLAM

Senior Member
Oct 12, 2013
141
195
Kabla ya kufanya hayo yote, uliCreate backup? Kama hukuCreate backup kwa kuwa simu yako bado nzima unaweza kuInstall custom recovery then seach google for StockRom ya simu yako halafu utaInstall hiyo stock rom.

Otherwise flash na stock rom
Kwakweli sikufanyia backup,.
nahiyo custom recover, naipataje?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom