tonii herrera
JF-Expert Member
- May 8, 2015
- 416
- 282
wataalam naombeni msaada wenu.simu yngu kila nikitaka kudownload apps inaniandikia insuffient storage device.
nimefuta karibu vitu vyote space iwepo lkn nikidownload tena inaandika hivo hivo.sa nashindwa kuelewa tatizo ni nn
#msaada wenu wakuu
asante mkuu mollel ngoja nijarib nione
Pia ikishindikana unaweza kuwa unaDownload Apps kwa kutumia browser kawaida then unaInstall manually, pia hii ni njia nzuri.una weza kuDownload kupitia website ya APK4FUN